Habari za Mastaa

Ndoa ya Miguel yavunjika “walidumu kwenye uhusiano miaka 17”

on

Ni Mkali kutokea nchini Marekani Miguel Jontel Pimentel ambae time hii anamiliki vichwa vya habari baada ya tovuti maarufu kuthibitisha kuvunjika kwa ndoa yake.

Kwa mujibu wa tovuti hiyo imeelezwa kwamba Miguel na Nazanin Mandi wameachana rasmi baada ya miaka 17 ya kuwa pamoja.

Wawili hao walifunga ndoa mwaka 2018 baada ya kuingia kwenye mahusiano tangu mwaka 2006.

R KELLY AKUTWA NA HATIA “ANAWEZA KUFUNGWA HADI KIFUNGO CHA MIAKA 10 JELA”

MAAJABU YA MTU ANAYETUMIA MAPAFU YA CHUMA, SHINGONI HADI MIGUUNI KUMEPOOZA “ANA DEGREE YA SHERIA”

 

 

 

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments