Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali Kesi ya Kikatiba iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia ya kupinga utaratibu wa kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai.
Ndugai aibuka kidedea Mahakamani, Wakili wa Serikali afunguka ‘Tutakata rufaa’

Leave a comment
Leave a comment