Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Ndugai akoshwa na swali alilouliza Gambo “bado una nafasi”
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Ndugai akoshwa na swali alilouliza Gambo “bado una nafasi”
Top Stories

Ndugai akoshwa na swali alilouliza Gambo “bado una nafasi”

February 8, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Spika wa Bunge Job Ndugai, amefurahishwa na swali lililoulizwa na mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo, kwamba Wizara ya Maliasili haioni umuhimu wa kusitisha tozo kwa hifadhi zilizochini ya TANAPA ambao tozo zake ziliongezwa ili kutoa fursa ya ya sekta ya utalii ambayo imethirika na Corona

Hayo yamejiri Bungeni Dodoma wakati wa kikao cha Tano, mkutano wa PIli wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Sekta ya utalii kwa mkoa wa Arusha na nchi nzima imeathirika sana wananchi wengi wamekosa ajira, madereva wamekosa ajira kwa sababu magari hayatembei kutokana na uchahche wa ajira, tukiangalia kwenye ukanda wa Afrika Mashariki nchi nyingi zimepunguza tozo. Je Wizara ina mpango gani wa kuipa ahueni sekta ya utalii ili kuweza kunusuru changamoto kubwa ya ajira”, Mrisho Gambo.

 Spika Ndugai ameongeza “Swahi hili lina msingi sana, Gambo bado una nafasi tunaelekea kwenye mipango na bajeti unaweza ukafafanua zaidi hoja yako, ni hoja yenye mvuto na ya msingi sababu haiwezekani graph ya watalii inapungua halafu wewe unaongeza bei”.

BIASHARA HATARI INAYOFANYIKA NYUMBANI KWA MTU “HII IKILIPUKA HAPA NI HATARI KWA MAISHA”

You Might Also Like

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA February 8, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoMPYA: Karibu kuitazama ‘Mwisho’ ya kwake Ndelah
Next Article Ebola yaibuka tena Congo
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?