“Namshauri Spika Ndugai ajiiuzulu na awaachie Watanzania watakaompa support Mama, haya mambo ya kusema ‘Nimekosa Mimi, nimekosa sana, nimekosa Mimi, Mungu anisamehe’, tutasema mpaka mara ngapi?, kama umekubali umekosa jiuzulu”——— Askofu Gwajima
“Mkuu wa Mhimili wa namna gani anaweza kusema jambo na baada ya siku fulani akatoka na kubadilisha, namshauri Boss wangu Ndugai kwa unyenyekevu, hali ni mbaya kwasababu Wabunge wataambatana na Mama atajikuta Bungeni anapwaya na Nchi inapwaya, namshauri Spika ajiuzulu”———Gwajima