Mix

Picha 9 za jinsi taarifa mpya za ndege ya Malaysia zilivyopokewa na ndugu na msg waliyotumiwa.

on

Screen Shot 2014-03-25 at 1.00.53 AMWaziri wa Malaysia amebadilisha vichwa vya habari duniani kwa kusema ripoti ya shirika moja la Uingereza inadhihirisha kwamba ndege ya Malaysia iliyopotea zaidi ya siku 15 zilizopita, ilianguka kwenye bahari ya hindi na kuua watu wote waliokuwemo ndani.

Ni habari ambayo imepokewa kwa machungu sana hasa kwa ndugu waliopoteza wenzao waliokua wakisafiri na ndege hii…

Screen Shot 2014-03-25 at 1.00.46 AMNdege hii ya Malaysia ilikua na abiria 239 ndani yake.

Screen Shot 2014-03-25 at 1.12.01 AM

Screen Shot 2014-03-25 at 1.11.58 AM

Wengine ilibidi wapewe huduma baada ya mshtuko.

Wengine ilibidi wapewe huduma baada ya mshtuko.

Screen Shot 2014-03-25 at 1.11.48 AM

Screen Shot 2014-03-25 at 1.19.23 AMHii hapa juu ndio msg waliyotumiwa na shirika la ndege la Malaysia.

Screen Shot 2014-03-25 at 1.19.19 AM

Screen Shot 2014-03-25 at 1.19.14 AM

Screen Shot 2014-03-25 at 1.19.09 AM

Tupia Comments