AyoTV

VIDEO: Utani wa Spika Ndugai kuhusu team iliyofungwa 4-0

on

Spika wa Bunge Job Ndugai aliamua kuingizia kionjo cha utani wakati akishauri akitolea msisitizo wa majibu ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Annastazia  Wambura aliyekuwa akijibu swali la Mbunge wa Kinondoni Maulid Mtulia aliyehoji mkakati wa Serikali kuwekeza nguvu katika kuboresha sekta ya sanaa nchini.

Skika Ndugai alisema..>>>’Namuunga mkono Naibu Waziri wa sanaa kwa tukazanie mambo ya sanaa maana mpira wa miguu unatupa shida kidogo, watu wamepoteana uwanjani bao nne..!! wakapoteana njiani wanarudi mafungumafungu. Namuuliza Waziri mkuu vipi anasema hata sielewi kinachoendelea

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Serikali inafanya jitihada lakini haina majibu sahihi’ –Jumaa Aweso 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments