Habari za Mastaa

Nandy aonyesha Studio aliyoijenga nyumbani, amuongelea pia Mtoto wa Ruge (+video)

on

Baada ya Mwimbaji Staa wa Bongofleva Nandy kutangaza kufanya show yake ya kujaza Uwanja wa Mpira Sumbawanga siku ya EID MOSI, amekaa kwenye EXCLUSIVE na AyoTV na kuonyesha studio yake mpya aliyojenga nyumbani kwake pamoja na kumuongelea Mtoto wa Marehemu Ruge Mutahaba ambae ametajwa kuhusu show ya Sumbawanga.

Nandy amesema Studio aliyoijenga nyumbani kwake ni kwa ajili yake japo anaweza kufanya kazi na Wasanii wengine lakini kwa utaratibu ambapo Producer Kimambo ndio Msimamizi Mkuu, vipi kuhusu Mtoto wa Marehemu Ruge? bonyeza play hapa chini kumtazama Nandy mpaka mwisho

.

.

Soma na hizi

Tupia Comments