Top Stories

“NEC tulipokea majina kutoka kwa Katibu Mkuu CHADEMA”

on

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Katibu Mkuu wa CHADEMA aliandika barua kwa Mkurugenzi wa Uchaguzi yenye Na. C/HQ/ADM/20/TU/05/141 ambayo iliwasilisha orodha ya majina ya Wabunge.

 

LIVE: SAKATA LA HALIMA MDEE NA WENZAKE, CHADEMA WANAONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

 

Soma na hizi

Tupia Comments