Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo kidato cha nne ambapo Watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao “ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020”
“Wasichana waliofaulu 218,174 (85.77%) na Wavulana wapo 204,214 (89.00%)”-Katibu Mtendaji NECTA, Dkt. Charles Msonde
1.MATOTO YA KIDATO CHA NNE (CSEE) 2021 bonyeza hii link hapa chini
https://matokeo.necta.go.tz/results2021/csee/csee.htm
2.Matokeo ya Mtihani wa Maarifa (QT) 2021 bonyeza link kwa chini
https://matokeo.necta.go.tz/results2021/qt.htm
3.Matokeo ya Upimaji wa kitaifa wa Kidato cha pili (FTNA) 2021, bonyeza link iliyopo kwa chini
https://matokeo.necta.go.tz/results2021/ftna/ftna.htm
4.Matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa darasa la nne (SFNA) 2021
https://matokeo.necta.go.tz/results2021/sfna/sfna.htm
NECTA YATANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA CHA PILI