Ikiwa kesho September 6 2017 utafanyika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi, leo baraza la mitihani laa Tanzania wamekutana na vyombo vy habari kutoa taaifa kuhusu mtihani huo utakaoanza kesho.
Akizungumza mbele ya wanahabari katibu Mtendaji wa NECTA, Dkt Charles Msonde amesema mtihani huo utafanyika kwa shule 16,583 na jumla ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani ni 917,072.
Aidha baraza limewataka wamiliki wa shule kutambua kuwa shule zao ni vituo maalum vya mitihani na hivyo hawatakiwi kwa namana yoyote kuingilia majukumu ya wasimamizi wa mitihani katika kipindi chote cha ufanyikaji wa mtihani huo, Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama hii video hapa chini
AyoTVMAGAZETI: Prof Muhongo akamatwa, Siku 4 ngumu kwa Lugumi, Bonyeza play hapa chini kutazama
https://www.youtube.com/watch?v=sc0AC1y3_Qg&t=25s