Top Stories

Uchaguzi unaendelea Tanzania, ratiba nyingine ni hii inaanza Jumapili November 15

on

October 2015 utakuwa mwezi wenye historia kubwa ambayo haitojirudia mpaka miaka mingine mitano ipite, hiyo ni kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya Tanzania… kinachoibeba historia hiyo ni ishu ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa awamu ya tano Tanzania.

Lakini japo Uchaguzi Mkuu umekamilika bado kuna Majimbo ambayo uchaguzi haukufanyika kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wagombea wake kufariki… ninayo ripoti kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC ina orodha ya Majimbo na Kata pamoja na tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi huo wa Wabunge na Madiwani.

NEC

NEC II NEC III NEC IV

Ratiba nyingine hii hapa

NEW NEC

NEW NEC II

NEW NEC III

NEW NEC IV

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments