Habari za Mastaa

Nelly anaisogeza kwako hii mpya kutoka kwake; ‘The Fix’ feat. Jeremih! (Video)

on

Rapper kutoka Marekani Nelly anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani, akiwa bado yupo kwenye mchakato wa kukamilisha album yake ya nane, Nelly ameamua asituache tu hivihivi ameamua aisogze kwetu ngoma yake mpya wakati tukiwa tunasubiri mzigo wa album yake mpya ufike sokoni.

nelly2

Wimbo unaitwa ‘The Fix’ na kizuri kuhusu wimbo huu ni kwamba ukiusikiliza utagundua kuwa hawa jamaa wametumia sample za hit songs za miaka ya nyuma haswa kwenye chorus ya wimbo huu ambao wenyewe umetumia idea ama sample ya wimbo wa Marvin Gaye, Sexual Healing.

Video yake ninayo hapa tayari… kama bado hujafanikiwa kukutana nao basi karibu uitazame hapa chini mtu wangu.

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasamuziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments