Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…
Mix

Hii ni mipango ya Serikali bonde la mto Msimbazi baada ya Bomoabomoa kukamilika…

January 6, 2016
Share
1 Min Read
SHARE

Wakati zoezi la Bomoabomoa likiendelea katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam tayari Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC limetoa mikakati ya kuendeleza bonde la mto Msimbazi.

Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Bonaventure Baya amezungumzia mipango yao kuwa wana mpango wa muda mfupi kati ya Januari 2016 hadi Juni 2016.

Baada ya Ubomoaji Serikali inategemea kufanya usafi eneo lote kisha kuweka mipaka katika kingo ili liweze kufahamika na kutovamiwa tena.

‘Serikali Itaandaa mpango wa muda mfupi wa matumizi ya bonde la Msimbazi, na tayari Waziri wa ardhi alikwisha agiza wataalamu wakae na kubuni nini kitafanyika baada ya kusafisha eneo lote’...Baya

Pia baada ya Juni Mpango wa muda mrefu utakuwepo ambao ni kufanya bonde liwe la burudani kwa wakazi wa Dar es salaam ambapo utatekelezwa na Wizara ya ardhi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Mradi wa Umeme wa Upepo wa Zanzibar wapamba moto

Joe Biden atuma salamu za pole kwa Mfalme wa Morocco

Rais Samia azindua ujenzi wa soko la Kizimkazi

EWURA yaridhishwa na kazi ya utengenezaji matela ya kusafirishia mabomba ya EACOP

NIC washinda tuzo 7 ndani ya mwaka 2023

Millard Ayo January 6, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Kilichonifikia kuhusu tukio la kuzuka moto Wizara ya Mambo ya ndani Dar leo.. (Pichaz)
Next Article Licha ya kuwadhibiti Simba, hiki ndio kichapo cha Jamuhuri walichokipata kutoka kwa wanajeshi …
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?