AyoTV

VIDEO: ‘Haiwezekani mtu anaimba wimbo wa kumtukana Rais’ –Mbunge Keissy

on

Bunge limeendelea kujadili mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo baadhi ya wabunge walipata nafasi ya kusimama kuchangia, Mbunge wa Nkasi Kaskazini Ally Kessy alisimama na kulalamikia baadhi ya wasanii wanaoimba nyimbo za kumtukana Rais.

Keissy amesema…>>>’Haiwezekani mtu anaimba wimbo wa kumtukana Rais alafu anaachiwa huru, hakuna uhuru wa namna hiyo.. ukiisikia nyimbo kama ya Roma Mkatoliki ndugu zangu ni aibu na ni kukosa adabu’ 

Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

VIDEO: Swali la Nape Nnauye Bungeni leo 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments