Habari za Mastaa

Neno la Miss Tanzania 2019 kuhusu Janga la Corona Virus

on

Tukiwa kwenye janga la Dunia kwasasa la ugonjwa wa Corona Virus tumeona mataifa mbalimbali kwasasa yamesimamisha shughuli zao huku wengine wakiwa ndani bila kuwepo kwenye mikusanyiko yoyote ili kuepuka ugonjwa huo.

Sasa miongoni waliopandaza sauti leo April 4, 2020 ni Miss Tanzania 2019 Sylivia Sebastian ameandika ambae ameonekana kuwahimiza watanzania kuepuka na ugonjwa huo wa Corona Virus.

 

Soma na hizi

Tupia Comments