Mix

Vichwa 8 vya Habari kubwa kwenye TV za Tanzania May 16 2016

on

Kama utakua ni mpenzi wa kutazama taarifa ya habari na hukupata time ya kutazama taarifa ya Habari ya May 16 2016 kupitia TV za Tanzania usijali millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama vichwa 10 vya Habari kupitia TV za Tanzania.

Kichwa cha Habari kutoka ITV…Morogoro

Watu 11 wakamatwa kwa tuhuma za kumdhalilisha mwanamke wa miaka 2120160516_201604

Kichwa cha Habari kutoka ITV…Bungeni Dodoma

Msemaji wa kambi ya upinzani asusia kuwasilisha maoni ya kambi hiyo20160516_200244

Kichwa cha Habari kutoka TBC1Watu 11 wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tuhuma za udhalilishaji20160516_200744

Kichwa cha Habari kutoka TBC1…Serikali yatoa ushirikiano wa kutosha kuhusu mkataba wa Lugumi20160516_200253

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO…Bure kwa waendao kwa miguu tu

Wakazi wa Jiji la Dar es salaam wanaotumia Daraja jipya la Mwalimu Nyerere, wanatumia daraja hilo bila malipo kupita kwa miguu, ikiwa ndio siku ya kwanza leo kuanza kulipiwa.20160516_201107

Kichwa cha Habari kutoka Azam TWO…Watuhumiwa wa ubakaji wanaswa20160516_201343

Kichwa cha Habari kutoka Star TV…Wanafunzi wawili wagongwa

Wakazi wa kisesa wafunga barabara Mwanza- Musoma baada ya wanafunzi wawili kugongwa na mmoja kufariki20160516_200308

Kichwa cha Habari kutoka Star TV…Mabasi yaendayo kasi Dar

Ikiwa ni siku ya kwanza kwa wakazi wa Dar kulipia, kwenye huduma ya Mabasi yaendayo kasi, vituo vyake vyakabiliwa na Changamoto mbalimbali.
20160516_200920

ULIIKOSA EXCLUSIVE YA LULU KWANINI HAKUPOST WALA KWENDA MAKABURINI MIAKA MINNE KIFO CHA KANUMBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE 

Soma na hizi

Tupia Comments