AyoTV

NEWS: Dayna na Yemi Alade, Navy Kenzo kwenye dili jipya na mengine

on

Kama kawaida kila wiki Ayo Tv huwa inakuletea stori mbalimbali za mastaa wa Tanzania, wiki hii Ayo TV imefanikiwa kukuletea exclusive stori za Dayna na Yemi Alade na kuhusu Navy Kenzo kupata dili jipya, vipi ushawahi kujiuliza kuhusu kundi la Shosteez lipo wapi? Lamar katoa majibu hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

NEWS: Couple mpya town? Masogange na Rammy Galis.. Dudubaya kaongea kwanini alimuomba Shetta msamaha

Soma na hizi

Tupia Comments