on air with millardayo

On Air: Mrembo Mtanzania aliyenunua nyumba New York, Marekani

on

Kweny On Air With Millard Ayo leo April 18 2017 ninayo hii Good News kutoka kwa Herieth Paul ni mrembo mtanzania ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani, Ni Model mwenye umri mdogo ambaye  amefanikiwa kununua Nyumba New York, Marekani akiwa na umri wa miaka 20  New York, Marekani.

Ulimiss hizi Dili tano kubwa alizozipata Herieth Paul Marekani na Maisha yake kwa ujumla itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments