AyoTV

VIDEO: Mambo manne ya Zitto Kabwe Bungeni May 17, 207

on

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia Bajeti ya Wizara ya Viwanda, Bashara na Uwekezaji Bungeni Dodoma ambapo alikuwa na mambo mnne makuu aliyoishauri serikali kufanyia marekebisho haraka.

VIDEO: Lazaro Nyalandu afunguka uhusiano wake na watoto waliopata ajali Arusha 

 

Soma na hizi

Tupia Comments