Habari za Mastaa

Ni muda wa kumsikiliza Mwana FA kwenye ngoma yake mpya…- ‘Asanteni kwa Kuja’ (Audio)

on

Kama umepita mitandaoni ndani ya kama wiki mbili hivi au zaidi utakubaliana na mimi kwamba kulikuwa na trend ya picha ya Mwana FA ikituweka tayari kwamba jamaa anakuja kivingine.

Jina lake ni Hamis Corleone Mwinjuma, kwenye stage ya muziki anafahamika kama Mwana FA… kaja na mdundo mwingine ambao umeachiwa leoleo… nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito HAPA >>> Mwana FA- ‘Asanteni kwa Kuja’

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitterFBInstagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments