Duniani

Safari ya New York-London sio mchezo lakini wataalam wanaikamilisha kwa dakika 11 tu !!.. (+Video)

on

Safari ya kutoka New York Marekani kwenda London Uingereza au kutoka London kwenda New York sio safari ndogo, wataalam wa mambo wanasema ni safari ambayo inachukua kati ya saa saba au nane hivi, inakuwaje ukaambiwa hiyo safari inafupishwa na unatumia dakika 11 pekeake?

ny_london

Mtaalam Charles Bombardier kaja na ubunifu ambao umegonga vichwa vya habari siku chache zilizopita, ubunifu wake umeleta teknolojia ambayo inathibitisha kwamba anaweza kuitambulisha ndege inayoweza kusafiri umbali huohuo kwa dakika 11 tu… duuh, ni headlines za teknolojia kutoka Canada.

30913FEA00000578-3416330-image-m-21_1453756433120

Ndege yenyewe imepewa jina la Antipode, inaweza kusafiri ikiwa imepakia abiria mpaka 10… video hizi hapa mbili zinagusa kila kitu kuhusu ubunifu huu.

Video nyingine hii hapa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments