Zaidi ya mwezi mmoja umepita toka November 5 2015 ishuhudiwa kwa Rais Magufuli kula kiapo na kuanza kuiongoza Serikali ya Tanzania awamu ya tano… kulikuwa na stori nyingi kila mtu akitabiri lake kuhusu muundo au sura zitakazoonekana kwenye Baraza la Mawaziri atakaloliunda Rais huyo.
Siku na wakati wenyewe umefika, Rais Magufuli ametaja tayari Baraza la Mawaziri na hapa ni sehemu ya nukuu alichokisema wakati akitaja Baraza hilo pamoja na list ya Mawaziri wote waliopitishwa.
#MillardAyoUPDATES: Rais MAGUFULI anatangaza Baraza la Mawaziri sasahivi, nakupa updates kupitia #TWEETS kila kitu kutoka IKULU Dar.
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Baraza la Mawaziri litakuwa na Wizara 18 pamoja na Mawaziri 19, litakuwa Baraza dogo kupunguza matumizi- #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Mawaziri watakaoteuliwa hawatofanyiwa Semina elekezi, pesa za semina zitapangiwa matumizi- #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI:Hakuna sababu kutumia Bil.2 kwa semina elekezi, Mawaziri wanajua jinsi ya kwenda na Sera ya ‘Hapa Kazi Tu’- #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Baraza la Mawaziri ni dogo ili kupunguza gharama na pia itafanya walioteuliwa wakafanye kazi kweli- #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Waziri Mkuu alipoteuliwa hakusubiri semina elekezi, alianzia kwenye makontena bandarini- #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Mawaziri walioteuliwa wasijisumbue kufanya sherehe, wanatakiwa kwenda kufanya kazi- #MillardAyoUPDATES
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Rais MAGUFULI: Waliojiandaa kufanya sherehe baada ya kuteuliwa wajiandae na kufanya sherehe siku wakifukuzwa kazi- #MillardAyoUPDATES — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Ofisi ya Rais,TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora #WAZIRI 1>George SIMBACHAWENE #WAZIRI 2>Angela KAIRUKI #NAIBU WAZIRI> Jaffo Selemani SAID
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) #WAZIRI > January MAKAMBA #NAIBU WAZIRI > Luhaga MPINA — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu #WAZIRI >Jenista MHAGAMA #NAIBUWAZIRI 2>Dk.Posi ABDALLAH & Antony MAVUNDE
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi #WAZIRI> Mwigulu NCHEMBA #NAIBUWAZIRI > William Tate Ole NASHA — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano #WAZIRI >> Bado hajapatikana #NAIBUWAZIRI >> Eng. Edwin NGONYANI
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Nishati na Madini #WAZIRI >> Prof. Sospeter MUHONGO #NAIBUWAZIRI >> Dk. Medard KALEMANI — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Fedha na Mipango #WAZIRI >> Bado hajapatikana #NAIBUWAZIRI >> Dk. Ashantu KIJAJI
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Katiba na Sheria #WAZIRI >> Dk. Harrison MWAKYEMBE — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Waziri wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa #WAZIRI >> Dk. Augustine MAHIGA #NAIBUWAZIRI >> Dk. Suzan KOLIMBA
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa #WAZIRI >> Dk. Hussein MWINYI — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Mambo ya Ndani #WAZIRI >> Charles KITWANGA
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi #WAZIRI >>> William LUKUVI #NAIBU >>> Angelina MABULLA — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Maliasili na Utalii #WAZIRI >> Bado hajapatikana #NAIBU >> Eng. Ramo MAKAME
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji #WAZIRI >> Charles MWIJAGE — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi #WAZIRI >> Bado hajapatikana #NAIBU >> Eng. Stellah MANYANYA
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto #WAZIRI >> Ummy MWALIMU #NAIBU >> Dk. Khamis KIGWANGALLA — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo #WAZIRI >> Nape Moses NNAUYE #NAIBU >> Anastazia WAMBURA
— millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Waziri wa Maji na Umwagiliaji #WAZIRI >> Prof. Makame MBALAWA #NAIBU >>> Eng. Isaack KAMWELE — millard ayo (@millardayo) December 10, 2015
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE