AyoTV

Video ya chimbo jipya la chini ya ardhi Dar es salaam… nimepelekwa mpaka ndani

on

Maisha ClubWafanyabiashara ni wengi na kila mmoja anataka mambo yake yaende vizuri ndio maana kwa gharama zote anazozimudu anahakikisha amefanikisha kufikia lengo la kuteka wateja wengi.

Baada ya mwezi mtukufu mpango wa burudani Dar es salaam unahamia kiwanja kipya cha night club kinaitwa MAISHA BASEMENT Kijitonyama Dar es salaam chini ya ardhi ya jengo jipya refu, zaidi tazama hii video hapa chini..

Ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, Facebook na Instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments