Top Stories

Maneno ya kwanza ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim baada ya Bunge kumthibitisha.. (+Video)

on

Kikao cha Bunge kwa leo November 19 2015 kimemalizana na kile ambacho kilikuwepo kwenye Ratiba ya Bunge… kwanza ilikuwa ni kutajwa jina la Waziri Mkuu pamoja na kumthibitisha, hilo limekamilika… kingine ilikuwa kumchagua na kumwapisha Naibu Spika wa Bunge, nalo limefanyika.

 

Kila kitu kimekamilika, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa amethibitishwa na Bunge kushika nafasi hiyo na kesho ataapishwa…. Dk. Tulia Ackson Mwansasu pia amechaguliwa kushika nafasi ya Naibu Spika na ameapishwa leoleo. Kwenye sehemu ya Hotuba fupi ya Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, kuna hizi nukuu alichokisema baada ya Bunge kumthibitisha.  

Majaliwa

Hii hapa video ya dakika 17 kutoka SIMU. Tv Waziri Mkuu alivyotangazwa na Hotuba yake ya kwanza. 

 

 

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayokwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments