Habari za Mastaa

Nyingine mpya kutoka kwa Rihanna safari hii kawashirikisha Kanye West na Paul MacCartney.

on

rihaStaa wa muziki Robyn Fenty Maarufu “Rihanna” ametoa single mpya ‘FourFiveseconds‘ akiwashirikisha mastaa wenzake Kanye West pamoja na Paul MacCartney.

Tangu atoe nyimbo yake ya Jump Rihanna sasa amerudi upya na kuahidi mashabiki wake mambo mazuri zaidi ikiwa pamoja na kutoa albamu yake mpya mwaka huu

https://www.youtube.com/watch?v=2OJjwMj7jtw

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter,  Instagram, na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments