Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo.
Najua huenda stori nyingine zinakupita, hapa nimezikusanya zote zilizoguswa na #Tweets za #Magazeti January 19, 2016, unazisoma zote kwa pamoja.
Aliyekuwa mgombea Urais kupitia UKAWA, LOWASSA amesema Mameya na Wabunge wa chama hicho wakishindwa kuwajibika watafukuzwa #MTANZANIA JAN19
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Naibu Waziri Stella MANYANYA amesema ‘elimu bure’ haimwondolei majukumu ya msingi mzazi kuhakikisha watoto wanapata elimu #GazetiMWANANCHI
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Wakati Serikali Z’bar ikitangaza kurudiwa uchaguzi mkuu, hakuna shughuli zinazoendelea ofisi ya Tume ya uchaguzi ZEC #GazetiMWANANCHI JAN19
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Mwanafunzi wa kike shule ya wasichana Korogwe amelazwa hospitali ya Mount Meru baada ya kubakwa na mtu anayedaiwa ni Askari Polisi #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Wakazi wa Chipu, Sumbawanga wamelazimika kuyakimbia makazi yao na kujificha porini kukwepa harambee ya ujenzi wa choo cha shule #NIPASHE
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Jeshi la Polisi Dar linawashikilia watuhumiwa kadhaa wa kesi ya kufunga barabara ya Kawawa na kuchoma matairi #MagazetiJAN19 #HabariLEO
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Aliyewahi kuwa kocha wa timu ya Taifa Kim Poulsen amepewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Dylan Kerr katika klabu ya Simba #MTANZANIA #JAN
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Serikali imetakiwa kuwa makini dhidi ya baadhi ya watu kutoka nchi jirani kujipenyeza na kuandikisha watoto wao ili wasome bure #MTANZANIA
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Waziri SIMBACHAWENE amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo ubadhirifu wa zaidi ya milioni 300 #MTANZANIA JAN19
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Wizara ya afya imesema kipindupindu kimerudi tena Dar na kusababisha vifo vya watu watatu #MagazetiJAN19#MAJIRA >>https://t.co/ksmUKRCLUR
— millard ayo (@millardayo) January 19, 2016
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.