Stori Kubwa

Tazama Taarifa ya Habari ya Azam Two Weekend ya May 7, 2017

on

Ikiwa ni Weekend ya May 7, 2017 wakati habari kubwa na ya kusikitisha ni msiba uliotokea Tanzania wa watu 32 wakiwemo Wanafunzi 29 kwenye ajali ya Basi dogo la Wanafunzi Karatu Arusha tayari millardayo.com na Ayo TV inakuunganisha na Azama TV kutazama taarifa ya habari LIVE.

Bonyeza play hapa chini kutazama.

FULL VIDEO: Kitu JPM amewaambia Wafanyabiashara baada ya kuwaita IKULU

Soma na hizi

Tupia Comments