Michezo

Neymar aumia kifundo cha mguu

on

Mchezaji wa PSG, Neymar (29) ameumia kifundo cha mguu wakati timu yake ilipokuwa ikichuana na klabu ya St Etienne katika dimba la Geoffroy-Guichard na kushinda kwa goli 3-1

Neymar alionekana kuugulia maumivu makali na kuonekana akilia pia katika tukio hilo lililotokea dakika 5 kabla ya kipenga cha mwisho

Mshambuliaji huyo alitolewa nje kwa machela na hadi sasa hakuna ripoti rasmi ya ila ripoti ya awali inaonesha ameumia kwa kiwango kikubwa.

INAHUZUNISHA MZEE ALIYEJIKATA NYETI ZAKE ILI AFE “MKE KANIKIMBIA, BUNDUKI INASHTUKA”

Soma na hizi

Tupia Comments