Michezo

Neymar na deal zake za fashion 2015..

on

Neymar-Fashion-Police-Wallpaper

Mastaa wengi wa soka kama Cristian Ronaldo, David Beckham wamekuwa wakipata dili la kufanya shughuli za fashion, hii imewasadia pia kukuza uzito wa mkwanja ambao wanaukusanya kwenye kazi zao ukiachilia mbali soka.

Wanamichezo wengi huingia upande huu, tumeona ya Usain Bolt na deal zake za PUMA na wengineo, sasa ni time nyingine nakusogezea hii ya staa wa soka toka Brazil, Neymar.

ney4

Mshambuliaji huyo wa Club ya Barcelona ambaye ni raia wa Brazil, Neymar Da Silva Santos naye aliingia kwenye list ya mastaa wengine kwenye hii biashara ya matangazo ya fashion na POLICE Lifestyle, alikuwa Balozi mpya wa bidhaa za Kampuni hiyo 2014, hapa kuna pichaz za Neymaar akiwa amevaa miwani mpya zinazotangazwa na kampuni hiyo.

259B29C700000578-2950931-image-a-18_1423758153137

ney2

sun

Baadhi ya mastaa waliowahi kuwa mabalozi wa POLICE fashion ni actors wa movie Bruce Willis na Antonio Banderas.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments