Michezo

Video: Angalia walichokifanya Neymar na Messi kwenye mechi dhidi ya Athletic Bilbao

on

1410623599128_Image_galleryImage_Barcelona_s_Brazilian_forLigi kuu ya Hispania maarufu kama La Liga imeendelea leo kwa michezo kadhaa kupigwa – FC Barcelona waliikaribisha Athletic Bilbao kwenye dimba la Nou Camp. Mchezo huo uliomalizika muda mfupi uliopita umeisha kwa matokeo ya ushindi wa 2-0 kwa vijana wa Luis Enrique.

Angalia magoli hapa hapa chini

FC Barcelona (2-0) Athletic Club by f100002117175853

Tupia Comments