Michezo

Kutana na video ya mkusanyiko wa chenga 20 za maudhi kwa mwaka 2015 za Neymar wa FC Barcelona …

on

Bado siku chache tu mtu wangu wa nguvu tuumalize mwaka 2015 na kuingia mwaka 2016, kuna mengi yametokea kwa mwaka 2015 katika tasnia tofauti tofauti, siku sita zimebakia ili kuweza kufikia mwaka mpya 2016 ila katika soka naomba nikusogezee video ya chenga 20 za maudhi za staa wa soka wa Brazil anayekipiga katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Neymar.

hqdefault

Hii ni video ya mkusanyiko wa chenga zake 20 kali kwa mwaka 2015, Kama ambavyo unajua Neymar ni moja kati ya wachezaji wa Kibrazil wenye asili ya kupiga chenga za kukera kama alivyokuwa Ronaldinho, mabeki wengi wamekuwa wakiambulia kuoneshwa kadi kutokana na kuukosa mpira na kulazimisha kutumia nguvu nyingi.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments