Habari za Mastaa

Uliimiss interview ya Ney wa Mitego na Diamond Clouds Fm??iko hapa mtu wangu #Audio

on

8nyNey wa Mitego na Diamond May 13 wameipiga muhuri tarehe hii kwa kuingia tena kwenye headline,time hii wameamua kuachia  pamoja collabo yao ya pili ambayo walianza kuitangaza kupitia mitandao ya kijamii wiki chache zilizopita.

6nyMiongoni mwa maswali waliyoulizwa na B dozen wa  XXL ni muda walioutumia kuandaa collabo hii ambapo Diamond alijibu kuwa wimbo huu uliwachukua siku 7(wiki) muda mwingine iliwalazimu kukesha studio ili tu kuukamilisha,wimbo huo unaweza kusikilliza kupitia Mkito.com mtu wangu lakini hapa nimekurekodia interview wakati wakihojiwa.

7ny

Ubishi waliouweka kuhusu Mapenzi au Pesa ulianzia kwa maswali na hapa Diamond anaanza kuelezea namna walivyokutana na mpenzi wake Zari,ukiwa Mtwara unaweza kusikiliza Clouds Fm kupitia 88.4.

Tupia Comments