Habari za Mastaa

Ne-Yo anaileta kwako ‘Friend Like Me’ ikiwa tayari imeshafanyiwa video! (Video).

on

Wakati tukiwa tunaendelea kusubiri collabo ya Diamond Platnumz na msanii wa R&B kutoka Marekani, Ne-Yo itoke, Ne-Yo leo anaisogeza kwetu video ya Friend Like Me... wimbo huu ni moja ya nyimbo zitakazosikika kwenye movie ya katuni ya ‘Aladdin’ hivi karibuni.

NEYO4

Video ya Friend Like Me ninayo hapa tayari, haina muda mrefu sana toka itoke na kama bado hujakutana nayo karibu uitazame hapa chini mtu wangu!

ABC Breaking News | Latest News Videos

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasamuziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata, pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>> YouTUBE

 

Soma na hizi

Tupia Comments