AyoTV

Cheki video ya Nay wa mitego ya Mr Nay ilivyokua ikitengenezwa.

on

mrniceHii itakua video ya pili kutoka kwa Nay wa Mitego kufanya video nje ya ardhi ya 255 baada ya ile ya Nakula Ujana kufanya vizuri,siku chache zilizopita ameanza kutoa kipande kidogo cha video hiyo.

Millardayo.com imepata nafasi ya kuona video hiyo wakati ikitengenezwa na hiki ni kipande cha wakati wa utengenezwaji wa video hii ambayo kwa asilimia kubwa imefanywa Kenya.

Tupia Comments