AyoTV

VIDEO: Dakika 5 za Mbunge anayesema hataki ishu za Viwanja vya ndege

on

Bunge la 11 limeendelea Dodoma, May 17 2016 ilikuwa ni zamu ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuwasilisha hotuba yake pamoja na kuomba kupitishiwa bajeti yake ijayo. Kazi iliyofanywa na Waziri  wake Makame Mbarawa.

Katika michango ya bajeti nakukutanisha na Mbunge wa Nkasi Ali Kessy akichangia katika Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kuhusu Serikali kujiwekeza katika ujenzi wa Viwanja vya ndege wakati hakuna barabara za kutosha.

ULIIKOSA HII HOJA ZA ZITTO KABWE BAADA YA HOTUBA YA WIZARA YA UJENZI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments