AyoTV

VIDEO: Waziri Kigwangalla VS Mbunge Goodluck Mlinga

on

April 10, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea Dodoma na katika kipindi cha maswali na majibu kati ya maswali yaliyosikika ni  pamoja na kutoka kwa Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyetaka kujua idadi ya taasisi na mashirika mangapi hayajajiunga na mfumo wa bima ya afya. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri na Waziri wa Afya

VIDEO: ‘Mzee Kikwete aliniambia neema inakaa kwenye tumbo la shari’ – Nape Nnauye 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments