AyoTV

VIDEO: ‘Serikali iache maneno iweke muziki’ –Andrew Chenge

on

Mbunge wa Bariadi Andrew Chenge amesema atalazimika kuiambia serikali iache maneno baaya ya kuwa imepita muda mrefu hadi sasa ikiahidi kufanya ujenzi wa barabara katika jimbo lake huku utekelezaji ukichukua muda mrefu.

Chenge amesema…>>>‘Kwa mwaka huu nakubaliana na serikali kuhusu madai yao kwamba wamekamilisha upembuzi kuhusu ujenzi wa barabara jimboni kwangu, mwaka kesho kama ikiendelea hivi mimi nitasema waache maneno waweke muziki

Full video ipo tayari gapa chini na ni ruksa kuitazama…

VIDEO: Mambo 19 ya Mbunge Serukamba kumuhusu Rais Magufuli 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments