Habari za Mastaa

PICHA 6: Keri Hilson katua Afrika, Mtanzania Melisa na wengine 8 wa Afrika kuimba mbele yake

on

Tanzania inawakilishwa na Melisa John kwenye shindano la Airtel Trace Music Star linalokusanya vipaji vya Waimbaji Afrika, kuchuja na kumpata mmoja ambapo mwaka jana mshindi alikua ni Mtanzania Nalimi Mayunga ambaye tayari ameshafanya wimbo na Akon.

Jaji mkuu wa mwaka huu ni mwandishi wa nyimbo na mwimbaji maarufu Keri Hilson kutoka Marekani ambaye tayari ameshawasili Nigeria kutazama vipaji vya vijana wa Afrika kutoka nchi 9 ikiwemo na Tanzania na kuisimamia fainali ya mwaka huu.

k2

‘Naamini finali itakuwa na mvuto sana nimekutana na washiriki na kushuhudia vipaji vya kutosha, makuu tutakayoangalia wakati wa fainali ni pamoja na uwezo wa mshiriki kuweza kutoa burdani jukwaani, uwezo wa sauti yake, naamini mashindano ya kesho yatakuwa na mvuto na nimejiandaa kufanya kazi na mshiriki atakayeshinda kwa mwaka huu”

k3

Mtanzania Mayunga akiongea mbele ya Keri Hilson kwenye mkutano ambao ulishirikisha Waandishi wa habari pia Nigeria.

k4

k5

k6

Wafanyakazi wa Airtel kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika picha pamoja na Keri Hilson ambapo wa pili kushoto ni Afisa uhusiano wa Airtel Tanzania Jane Matinde

ULIIKOSA YA SHILOLE NA VANESSA MDEE WALIPOKUTANA CLUB BILZ? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments