Habari za Mastaa

Shilole katuletea hii single mpya ‘Mtoto Mdogo’ akiwa na Man Fongo

on

Ni August 9, 2016 Shilole anaziandika headlines kwenye Bongo Fleva kwa kuachia single mpya iitwayo Mtoto mdogo aliyomshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli maarufu kama Man Fongo, imetayarishwa katika studio za Mr T Touch.

Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya

ULIIKOSA HII YA KAYUMBA KUELEZEA MILIONI 50 KAZIFANYIA NINI, BASI BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA ALICHOKIZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments