Mix

VIDEO: Vurugu zilivyotokea leo kwenye Bunge la Afrika Kusini baada ya wapinzani kupinga Rais asihutubie

on

Watu wa usalama katika bunge la Afrika Kusini wamewaondoa wabunge wa Upinzani wa chama cha Economic Freedom Fighter baada ya kujaribu kuzuia Rais Jacob Zuma asihutubie.

EFF wamesema Rais Zuma hasitahili kuhutubia bunge kutokana na maamuzi ya mahakama dhidi yake hivi karibuni, baada ya kiongozi wa EFF,  Malema Julius kutolewa bungeni  aliwaambia waandishi wa habari….>>>’Hatuwezi kuongozwa na mtu ambaye alishindwa kutekeleza, kutetea na kuilinda katiba’

ULIKOSA HII YA WABUNGE WANAWAKE WA UKAWA WALIVYOTOKA NJE YA BUNGE WAKIKATAA KUITWA ‘BABY’ ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments