Top Stories

“Nguvu imenivuta ndani ya maji, wawili wafariki, walikuwa wanapiga picha” (+video)

on

Miili ya watu wawili waliokufa maji kwenye maporomoko ya maji ya Tururu yaliyoko Wilayani Babati mkoani Manyara imeopolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoji.

Akizungumza mara baada ya zoezi la uopaji wa miili hiyo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto Mkoani Manyara, Julishaeli Mfinanga amewataja waliokufa maji kuwa ni Josephy Isdori mwenye umri wa miaka 21 na Abubakari Hamisi miaka 19.

Soma na hizi

Tupia Comments