Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MTANZANIA Mchujo mpya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, wanafunzi 20,000 kuhakikiwa upya, waliodanganya taarifa kukiona pic.twitter.com/q6LlKYrLlo
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MTANZANIA Ugonjwa wa vitiligo washambulia watoto wa kike umri kati ya miaka mitatu hadi 10, husababisha ngozi kubabuka sehemu za siri pic.twitter.com/fhBw9HBCUJ
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MTANZANIA Mkurugenzi wa zamani ATCL, Mattaka adaiwa kusaini mkataba kukodisha ndege iliyokuwa matengenezo na kusababisha hasara ya bil 71 pic.twitter.com/nOEZZr2SAK
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MTANZANIA Polisi DSM inawashikilia raia wa China wawili kwa tuhuma za kumteka mwenzao huku wakitaka kulipwa zaidi ya milioni 40 pic.twitter.com/JMD3X0kmqS
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI NSSF yakiri kuingia mkataba ujenzi mji wa kisasa Kigamboni na kampuni isiyokuwa na mtaji hivyo ilisitisha kuhofia hasara bil 270 pic.twitter.com/T9pBl4pXUB

#MWANANCHI Msimamizi wa uchaguzi Bunda mjini akiri kukosea kuandika idadi ya wapigakura wakati wa kutangaza mshindi wa nafasi ya ubunge pic.twitter.com/wk1GvPNRox
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Serikali ya TZ na Uganda zimetia saini ya kuongeza kasi ya utekelezaji ujenzi bomba la mafuta ili ifikapo 2020 liwe limekamilika pic.twitter.com/DcngBd7kZF
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Polisi Moshi imemvua cheo mkuu wa kituo cha Himo pia wamemtimua kazi ofisa cheo cha koplo kwa tuhuma za kukutwa na magari ya wizi pic.twitter.com/VEcVO7bK9z
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Sekta ya maliasili imetajwa kuwa imara lakini kwa miaka mingi imeshindwa kuchangia pato kubwa kwa serikali kutokana na sera duni pic.twitter.com/o1keolSNRF
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Uhakiki wa vyeti serikalini utakuwa ufunguo wa kuboreshewa masilahi na kupanda madaraja kwa watakaofuzu na kutoa fursa ajira mpya pic.twitter.com/wiYyDLLn3v
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo 2016/2017 imefikia 113,478 kutoka 93,295, baada ya wanufaika 20,183 wapya kuingizwa pic.twitter.com/N9utZC1rCv
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE CAG ashitukia ulaji wa kutisha uliohusisha malipo ya ziada ya mil 775 kwa kila eka ktk mradi wa kuendeleza mji wa Kigamboni wa NSSF pic.twitter.com/2VUzSINj5W
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE Imebainika kuwa ulaji wa vyakula vyenye viambata vya kemikali hatari kiafya ni miongoni mwa sababu zinazochangia kuwapo kwa Kansa pic.twitter.com/3IMPVNcEld
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE Mabasi yasiyokuwa na uwezo wa kubeba abiria 40 yaendelea kufutwa ktk orodha ya daladala zinazoruhusiwa kufika katikati ya jiji DSM pic.twitter.com/SjeRNP6WqD
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE Kamati ya bunge yaagiza Arusha kuhakikisha inarejesha bil 1.6 za mfuko wa wanawake, vijana baada ya kuzitumia kwa matumizi mengine pic.twitter.com/CmqV2msj5C
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE Mifuko ya hifadhi ya jamii nane imeanza kuwekeza kwenye viwanda kwa kushirikiana na wadau ili kujenga na kufufua viwanda 27 nchini pic.twitter.com/0CfhqKg5Gc
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#NIPASHE CUF yasema viongozi wa msikiti ndiyo wamekuwa wakimuomba katibu mkuu CUF, Maalim Seif kuzungumza na waumini akiwa ktk ibada pic.twitter.com/wlMOScql7F
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#UHURU Mradi mkubwa wa uendelezaji wa eneo la polisi Oysterbay hatihati kukwama baada ya mwekezaji kushindwa kuwalipa watalaamu wa mradi huo pic.twitter.com/aEOO0A2MiM
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#UHURU Watoto 11 wanaosoma shule ya msingi Sombetini Arusha wamekiri kujihusisha na vitendo vya ngono na mbwa pic.twitter.com/4LvTf56bBK
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#UHURU CAG aagizwa kufanya ukaguzi maalumu wa mikopo yote iliyotolewa na NSSF kwenye vyama sita vya kuweka na kukopa 'SACCOS' pic.twitter.com/9EXZ5h1ePn
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#UHURU JPM kuiandikia TZ historia mpya ya kushinda tuzo za heshima ya Forbes Afrika, anaongoza zaidi ya 80% ya kura zilizopigwa hadi jana pic.twitter.com/YFUBrOARWH
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#TanzaniaDAIMA Uhakiki bodaboda, Bajaj DSM waibua taharuki baada ya madereva kutupia lawama polisi kuendesha mchakato huo bila kutenda haki pic.twitter.com/2pBwr1QRJK
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
#MWANANCHI Katibu mkuu BMT, Kiganja amewashauri Manji na Dewji kuanzisha timu zao, asema ni vyema Simba na Yanga kubaki mali ya wanachama pic.twitter.com/PDEisWyz2I
— millardayo (@millardayo) October 27, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV, OCTOBER 27 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI