Video Mpya

VideoMPYA: Msami karudi na ‘Mdundo’ itazame

on

Msanii wa Bongofleva ambaye pia ni mwalimu wa Dancers wa Tanzania House of Talent THT Msami ameamua kutoa video yake mpya inaitwa ‘Mdundo’ unaweza kuitazama hapo chini halafu usisahau kuacha comment yako Msami ataisoma.

VIDEO: Alikiba azungumza kuhusu mnaosema kaiba wimbo wa ‘SEDUCE ME’

Soma na hizi

Tupia Comments