Habari za Mastaa

Timaya amemshirikisha Alikiba katika album yake wimbo ‘Number one’

on

Ipokee taarifa kuwa King Kiba ametokea kwenye Album mpya ya staa Timaya wa Nigeria inayoitwa ‘Chulo Vibes’ ikiwa na jumla ya ngoma tisa ambapo imewashirikisha wasanii tofautitofauti akiwemo Burna Boy,Machel Montano.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Timaya ameweka cover ya Album yake bila kutaja tarehe rasmi ya kuichia sokoni huku ngoma yake na Alikiba ‘Number One’ ikishika nafasi ya tano ndani ya Album hiyo.

AFYA YA MAPENZI: Mwijaku kazitaja tabia za wapenzi wanao chepuka Valentine’s day

Soma na hizi

Tupia Comments