Habari za Mastaa

MWANZO MWISHO: Alietengeneza ‘Ni Wewe’ ya Ommy Dimpoz kafunguka yalitokea studio

on

Ni headlines za mtayarishaji Yogo Beatz ambae alikaa mwezi mmoja na Ommy Dimpoz kuandaa wimbo mpya ‘Ni Wewe’,kwenye Exclusive interview na AyoTV  Yogo Beatz amefunguka safari iliyojaa huzuni na furaha katika kuitayarisha ngoma hiyo wakiwa studio.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

AFYA YA MAPENZI: Mwijaku kazitaja tabia za wapenzi wanao chepuka Valentine’s day

Soma na hizi

Tupia Comments