Habari za Mastaa

Patoranking hatofanya kolabo na kila mtu, kawataja Wabongo anaofanya nao

on

Patoranking ni mwimbaji kutoka Nigeria na kwa sasa yuko Tanzania kuipromote album yake mpya ya ‘God Over Everthing’ ambapo kwenye Interview na AyoTV, kajibu ni Wabongo gani wamemvutia na yuko tayari kufanya nao kolabo.

List yenyewe ina vichwa vinne tu kwa sasa ambavyo ni Vanessa Mdee, Aika na Nahreel wa Navy Kenzo pamoja na mwingine anaitwa Walid, unaweza kumtazama Pato kwenye hii video hapa chini akiwataja.

ULIIKOSA HII YA PATORANKING KAJIBU KWANINI HAKUNA MSANII WA AFRIKA MASHARIKI KWENYE ALBUM YAKE MPYA BASI ITAZAME HII  VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments