Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

VIDEO: Mwinyi Zahera anajiamini bwana “Mliona nalalamika mchezaji akikosekana”

on

Club ya Yanga SC Jumamosi ya August 10 2019 itacheza mchezo wake wa CAF Champions League dhidi ya Township Rollers, Yanga kuelekea mchezo huo ipo visiwani Zanzibar kucheza michezo ya kirafiki na Mlandege FC na Malindi FC.

Yanga kuelekea mchezo huo imecheza game ya kirafiki dhidi ya Mlandege katika uwanja wa Amaan Zanzibar na kupata ushindi wa magoli 4-1, AyoTV ilipata nafasi ya kuongea na kocha mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera kuhusiana na kukosekana kwa wachezaji wake nyota kama Juma Abdul na Andrew Vincent.

“Kama wanakosekana (Juma Abdula na Dante) hakuna tatizo siku watakujaa watakuta timu inaendelea na mazoezi, mwaka jana mliona mimi nalalamika kama mchezaji akikosekana wachezaji wapo kambini 33”>>> Mwinyi Zahera

 

VIDEO: Erasto Nyoni kagusia kikao chao cha Manahodha (Bocco, Kaseja na Yeye) leo

Soma na hizi

Tupia Comments