AyoTV

VIDEO: Simba SC wakisherehekea Ubingwa wakiwa na MO Dewji baada ya kuifunga Azam FC

on

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara club ya Simba SC leo walikuwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam kucheza mchezom wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC ambao ndio Mabingwa wa Kombe la FA, mchezo huo uliopigwa uwanja wa Taifa Simba SC aliendeleza ubabe kwa kutwaa Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC kwa kuwafunga 4-2.

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments