Michezo

List ya washindi wa tuzo za Ndondo Cup 2019

on

Kamati ya maandalizi ya Ndondo Cup 2019 chini ya mwenyekiti wake Shaffih Dauda ilifanya kilele cha msimu wa Ndondo Cup 2019 kwa kuhitimisha kwa kutoa tuzo za Ndondo Cup, tuzo hizo ambazo zinafanyanyika kwa miaka kadhaa sasa wamefanikiwa wachezaji mbalimbali wakifanikiwa kutwaa.

Hii ndio List ya Washindi wa Tuzo hizo

 • Tuzo ya mchezaji bora anayecheza nje ya Afrika-Mbwana Samatta,
  Tuzo imepokelewa na kaka yake Mohamed Samatta
 • Tuzo ya mwamuzi bora ni Ramadhani Kayoko.
 • Tuzo ya mchezaji bora anayecha nje ya Tanzania (Afrika)-Simon Msuva (Difaa Eljadida), Morocco, Tuzo imepokelewa na Juma Kaseja kwa niaba ya Msuva.
 • Tuzo ya mchezaji bora wa ndani (Tanzania)-Erasto Nyoni (Simba SC)
 • Tuzo ya mchezaji bora kijana-Kelvin John ‘Mbappe’, tuzo hiyo imechukuliwa na Mbaki Mutahaba mwakilishi wa mchezaji.
 • Beki bora-Adam Seseme (Uruguay FC)
 • Tuzo ya mchezaji bora wa beko-Juma Mjeshi (Uruguay FC)
 • Tuzo ya kikundi bora cha ushangiliaji-Ball Kipaji FC
 • Tuzo ya golikipa bora-Kijombi George (Ninga FC)
 • Tuzo ya mchezaji bora wa U17-Rabin Sanga (Bombom Youth)
 • Tuzo ya mchezaji bora wa U15 2019-Mohamed Saad Hussein (JMK Youth). Tuzo imechukuliwa na Jacob Mbuya kwa niaba ya mchezaji.

CHANZO: Shaffih Dauda

EXCLUSIVE: SAMATTA KAFUNGUKA DILI LAKE KWENDA ENGLAND, VIPI CHAMPIONS LEAGUE

Soma na hizi

Tupia Comments