AyoTV

VIDEO: Haji Manara kaanza mbwembwe kuelekea game ya Simba na Azam FC

on

Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2019/2020, Jumamosi hii saa moja usiku uwanja wa Taifa Dar es Salaam utachezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC, kuelekea mchezo huo afisa habari wa Simba SC Haji Manara kaongea na waandishi wa habari.

Haji Manara kaongea na waandishi wa habari kuelekea mchezo huo, huku akiwaomba wana Simba SC wafike kwa wingi uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kushuhudia mchezo, Haji amejitamba kuwa wanataka kuchukua Ngao ya Jamii Back to Back kwa miaka 10.

VIDEO: MWALIMU KASHASHA KATOA TATHMINI KWA YANGA HII DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS

Soma na hizi

Tupia Comments